Bei ya rubi

Jaman nina rub nauzza je naweza pata mteja plzz


Sent using Jamii Forums mobile app
Unao utalam wa madini kwanza?
Hiyo ruby ambayo unayo ni quality gani na ya kutoka wapi........
Mfano mimi hapa Nna grade nzuri ya high caboshon ya kutokea manyara......

Nakuwekea na picha zake ....hapa

Natumai utani jibu...maana watu wanaoleta biashara za mawe humu wanaletaga Mada alafu mwisho wa siku huwaoni tena ni kama Wana beep

Ova


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…