njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,675
Kabisa huku ni kuchezewa akili zetu.Watanzania tunachezewa sana..
Wataalamu wa ccm watakuja hapa kufafanua kwamba hata nchi nyingine karatasi zimepandaWatanzania tunachezewa sana..
Mbona unajitoa au wewe MrundiSerikali inajua watanzania wanaishia kupiga kelele mitandaoni afu wanasahau. Bei zitapanda hadi 2024, hapo ndo sitashushwa kwa ajili ya wagombea kujinadi.na watanzania walivyo wa ajabu watasahau haya yote.
Pandisha tu mana usipo fanya ivyo utakuwa unafanya biashara ya pwagu na pwaguziNawaza kupandisha Bei ya kopi iwe sh 200,kiufupi faida imepungua sana kwenye biashara ya steshenari kuliko hapo awali!!
Kumbe yule mama pale Tegeta nimemkunja bure baada ya kuniuzia kwa Tsh 17,500 na kasema itapanda zaidi na zaidi
Nawaza kupandisha Bei ya kopi iwe sh 200,kiufupi faida imepungua sana kwenye biashara ya steshenari kuliko hapo awali!!