Bei ya RAV 4 Old Model na new model za mwaka 2004

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Wadau nahitaji kununua gari kati ya Old Na New model Rav 4 ya mwaka 2004 naomba kujua bei.
 
old model zinaanzia mwaka 1995 hadi 2000, new model zinaanzia mwaka 2000 hadi 2015...kwa bei ya kununulia japan na kusafirisha kwa meli hadi Dar, tembelea website ya BE FORWARD, kwa gharama za kodi ya gari litakapofika tembelea website ya TRA, chagua aina ya gari na mwaka wake, cc zake then watakwambia kodi yake itakuaje likifika
 
Back
Top Bottom