wapo wanakula sikukuu labda
Ni sawa na kumwambia mtu achana na wali maharage kula pilau, maharage yana madharaAchana na mabati, paua na vigae, mabati yanaleta cancer
Aiseeee weeAchana na mabati, paua na vigae, mabati yanaleta cancer
Mkuu upo series ama ni utani tuuAchana na mabati, paua na vigae, mabati yanaleta cancer
Achana na mabati, paua na vigae, mabati yanaleta cancer
Habarini wadau.
Sijui kama ni jukwaa sahihi au la, m
Naombeni kufahamu aina tofauti za rangi zinazopakwa kwenye mabati ya nyumba na bid zake na kwa nyumba iliyotumia mabati 100 kupaua itatumia kiasi gani cha rangi?
NA KAMA FUNDI YUPO NIJUE. LOCATION NI KIBOSHO ROAD MOSHI.
ASANTENI
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio sasa. HahahahagaAna hela ya kigae au unamponza akimbie nyumba yake[emoji2][emoji2]
Rangi nyingi na inategemea na ukubwa /ujazo au lita unazotaka kwa mfano kama ni 20lt roofing pant p.v.a inategemea na kampuni ya utengenezaji ila bei kama 20ltrs ndoo ni 260000 hadi 300000.kama ni 10ltrs ni 190000 hadi 220000.na kama ni 4ltrs inaanzia 30000 hadi 40000.hizo zote ndio maksimamo za bei kulingana na kampuni ya rangi.
Kiboshoroad nilishajengaga nyumba ya dogo mmoja jina nimemsahau Ila ni pale chin ukivuka kiwanda cha mbao Kama unaenda bonite jina nimemsahau.ni dogo mmoja hv ndo wa kwanza kupaua kisasa mitaa hiyo huyo ndo anajua kazi yetuHabarini wadau.
Sijui kama ni jukwaa sahihi au la, m
Naombeni kufahamu aina tofauti za rangi zinazopakwa kwenye mabati ya nyumba na bid zake na kwa nyumba iliyotumia mabati 100 kupaua itatumia kiasi gani cha rangi?
NA KAMA FUNDI YUPO NIJUE. LOCATION NI KIBOSHO ROAD MOSHI.
ASANTENI
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu wangu. Nipate bas approximate ya kupiga rangi nyumba iliyopauliwa kwa bati 100.. niambie mkuu nijue niandae kiasi gani cha pesa ya rangiKiboshoroad nilishajengaga nyumba ya dogo mmoja jina nimemsahau Ila ni pale chin ukivuka kiwanda cha mbao Kama unaenda bonite jina nimemsahau.ni dogo mmoja hv ndo wa kwanza kupaua kisasa mitaa hiyo huyo ndo anajua kazi yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoo moja ya Lita 20 itatosha hapo, kwasababu inapakwa coat mbili ili ikolee zaidiSawa mkuu wangu. Nipate bas approximate ya kupiga rangi nyumba iliyopauliwa kwa bati 100.. niambie mkuu nijue niandae kiasi gani cha pesa ya rangi
Sent using Jamii Forums mobile app