Bei ya pumba na mashudu jijini Dar

Bei ya pumba na mashudu jijini Dar

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,837
Wakuu,

Ninahitaji kuanza kufuga nguruwe pembezoni mwa Dar es Salaam hivyo kabla sijaanza nimeamua kuanza kuangalia bei za vyakula vya hiyo mifugo ili nipate picha ya gharama za uendeshaji.

Naombeni mnisaide bei kufahamu bei ya;
1. Pumba za mahindi kwa kilo moja
2. Pumba za mchele kwa kilo moja
3. Mashudu ya alizeti kwa kilo moja

Si mbaya ukaandika hiyo bei ni ya sehemu gani hapa jiji.

Asanteni sana
 
Manzese pumba gunia 12000
 
hyo ni bei ya pumba ni za mpunga wakuu.ila pumba ya mahindi huku kwa gunia ni elf 15
 
Back
Top Bottom