N Ntyeka New Member Joined Sep 14, 2017 Posts 1 Reaction score 0 Sep 18, 2017 #1 Napenda kujua bei ya pili pili hoho sokoni maana mi ni mkulima na bado sijajua bei kamili ya kilo au gunia la pili pili katika masoko mbalimbali watalamu naomba msaada wenu Wa kuweza kujua na soko kamili kuwa liko wapi? Asante
Napenda kujua bei ya pili pili hoho sokoni maana mi ni mkulima na bado sijajua bei kamili ya kilo au gunia la pili pili katika masoko mbalimbali watalamu naomba msaada wenu Wa kuweza kujua na soko kamili kuwa liko wapi? Asante