dogo kubwa
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 798
- 697
Kwa hapa Tanzania, zinauzwa bei gani, hizi pikipiki
Kama unataka mpya 0km nenda Kwa dealer wa Yamaha pale Nyerere road opposite na Tcc.
Hizo 125DT zimepotea sana sokoni, bei yake hakikisha angalau una million 10.
Nenda kacheki kwenye ofisi zao, mwanzo wa mwaka nilienda sikuiona DT nilikuta AG200,AG125 na Yamaha Crux.Yaaa nahitaji 0km
na YAMAHA-DT used ina range bei gani kiongozi, yenye hali nzuri ofcourseNenda kacheki kwenye ofisi zao, mwanzo wa mwaka nilienda sikuiona DT nilikuta AG200,AG125 na Yamaha Crux.
Kwa sasa kama mpenzi wa bike za Yamaha ungetafuta Yamaha YZ125 nayo ni two stroke kama DT au YZ250 ambayo ni four stroke hizi zote ni za kisasa na zina nguvu kuzidi DT.
Mkuu used kwa mtu unaweza kupata kuanzia million 1.5 na kuendelea kutokana na hali ya chombo.na YAMAHA-DT used ina range bei gani kiongozi, yenye hali nzuri ofcourse
Mkuu, hivi Dt Yamaha ni 2 Stroke?Mkuu used kwa mtu unaweza kupata kuanzia million 1.5 na kuendelea kutokana na hali ya chombo.
Nini kimekufanya uipende DT 125?
Wewe utamudu bei ya spea,kuitunza vizuri, Ulipo kuna mafundi wazuri wa 2-Stroke engine, fundi akiwa mzozo hata utoipenda hiyo bike itakosa nguvu na kuiwasha utapiga kick mpaka uote vigimbi.
Mara ya mwisho mwaka jana zilikuwa 9 milioni sijajua kwa sasaKwa hapa Tanzania, zinauzwa bei gani, hizi pikipiki
Inategemea kama ni oldmodel bado ni 2strokeMkuu, hivi Dt Yamaha ni 2 Stroke?
Duh!!,pikipiki tu milioni kumi?!!,Si bora niongezee pesa nikadaka Noah mpya au Alphard.Kama unataka mpya 0km nenda Kwa dealer wa Yamaha pale Nyerere road opposite na Tcc.
Hizo 125DT zimepotea sana sokoni, bei yake hakikisha angalau una million 10.
DT hazina model mpya ni toleo lilelile hawajatoa model nyingine tena.Inategemea kama ni oldmodel bado ni 2stroke
Mkuu pikipiki nyingine bei zake ni balaa, kwa mtu mwingine bora uvute hata Hiace au Noah ipige kazi.Duh!!,pikipiki tu milioni kumi?!!,Si bora niongezee pesa nikadaka Noah mpya au Alphard.
Mkuu used kwa mtu unaweza kupata kuanzia million 1.5 na kuendelea kutokana na hali ya chombo.
Nini kimekufanya uipende DT 125?
Wewe utamudu bei ya spea,kuitunza vizuri, Ulipo kuna mafundi wazuri wa 2-Stroke engine, fundi akiwa mzozo hata utoipenda hiyo bike itakosa nguvu na kuiwasha utapiga kick mpaka uote vigimbi.
Kweli aisee,Bei kubwa sana hiyo.Mkuu pikipiki nyingine bei zake ni balaa, kwa mtu mwingine bora uvute hata Hiace au Noah ipige kazi.