Bei ya nyumba za kuishi Dodoma ikoje?

Bei ya nyumba za kuishi Dodoma ikoje?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,945
Niwazi sasa tunaenda Dodoma,Dodoma,
Binafsi sina pa kuanzia hususan makazi ,hebu wenyejitufahamisheni ,bei zikoje, na michongo mingine!
 
Kuhusu makazi nijuavyo mimi dodoma wengi sana wanapangisha nyumba nzima, ila sijajua gharama zikoje. Kua mvumilivu kidogo, wenye uzoefu na haya mambo au hata wamiliki wa nyumba watakuja hapa kukupa ripoti kamili. Kila la kheri mkuu
 
Ahsante,Mkuu,kuhama kukahoma ,kahoma!
 
Kwa nyumba nzima ni kuanzia laki mbili mpk.tatu na nusu....
Ya tatu na nusu ni kali sana namaanisha iko full fenced...maji 24hrs
 
Laki mbili mpaka nne kwa nyumba nzima sema inakuja tofaut ya eneo, ukubwa wa nyumba, ubora wa nyumba, hata anayekupangishA
 
Tulitangaziwa tuwaandalie nyumba kwamba tuzifanyie ukarabati wa Hali ya Juu tumefanya hivyo kwa gharama zetu hivyo mjue kabisa mkija mnazifidia karibuni sana
 
Back
Top Bottom