Bei ya Nokia X.

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,335
Reaction score
2,903
Wakuu, bei ya simu tajwa ni 240,000, na Lumia 520 ni 270. Duka lipo Kariakoo mtaa wa Msimbazi linaitwa Nokia care opposite na jengo la club ya Simba. Kama kuna sehemu nyingine wanauza bei nzuri zaidi tujuzane.
 
Ni 200,000 kuna duka mtaa wa aggrey upande wa kulia kama unatoka ACB ya mtaa wa aggrey ni duka kama la 3 hivi limeandikwa tigo pesa, mpesa..over
 
Nitafuatilia mkuu.
 
Waliowahi kuitumia mwageni sifa za hiyo simu hapa.
 
Wakuu, bei ya simu tajwa ni 240,000, na Lumia 520 ni 270. Duka lipo Kariakoo mtaa wa Msimbazi linaitwa Nokia care opposite na jengo la club ya Simba. Kama kuna sehemu nyingine wanauza bei nzuri zaidi tujuzane.

Hiyo lumia 520 unauza bei ghali sana,mnara wa askari posta km unaenda habari maelezo kuna duka hapo wanaiuza 200 hyo lumia.
 
Mimi siuzi mkuu, hiyo ni bei nimeiona pale kariakoo.
 
Vodashop mlimani city wanauza tsh.215000/=
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…