Bei ya Nokia-X Inauzwaje?

King Mutesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
227
Reaction score
140
Hii simu ya Nokia-X inayotangazwa sana kwa sasa inauzwaje wadau!?? Kabla sijaenda Dukani tujuzane kwanza!!!
 
Inaonesha ni nzuri na bei ni $ 120. 🐜
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1397582239.572522.jpg
    47 KB · Views: 401
kaka nokia wenyewe wakati wanazindua hizi simu walisema nokia x wameekewa first time smartphone owner na watu wasio na matumizi ya kismartphone. wakati nokia x+ na nokia xl ndio kwa ajili ya poweruser.

hio simu free ram ni kama mb160 tu hivyo kama unataka kutumia kama smartphone subiria nokia xl au x+
 
nimeikuta uchumi kwenye duka la tigo,voda na majaa fulani hv ni kati ya 220 hadi 250 ila camera haina frash na body yake ni nzuri kama ni mtu wa kudondosha dondosha simu au mtoto mtundu.
 
nimeikuta uchumi kwenye duka la tigo,voda na majaa fulani hv ni kati ya 220 hadi 250 ila camera haina frash na body yake ni nzuri kama ni mtu wa kudondosha dondosha simu au mtoto mtundu.

nokia xl ndio ina camera ya mbele na flash
 

CHIEF mi uwa nakukubali sana juu ya haya mavitu ila nazidi changanyikiwa nichukue kitu gan maana a'm empty interm of IT nina 250000 na simu zinazo nivutia ni HUAWEY Y300,TECNO N7/M7 na NOKIA X nishauri ni chukue aina gani hata kama sijaitaja hapo juu lakini ni kitu bora kwa price hiyo.thx
 

kama una haraka huawei y300 ni nzuri kwa hizo. ila kama unaweza kusubiri nokia xl ni nzuri zaidi ya zote
 
thx so itakuwa price gani hiyo Xl na inaweza toka lini

ilitakiwa itoke mwezi huu sijui tatizo ni nini au ni huo ugomvi wa chennai.

bei yake nokia wanaiuza around 240,000 hivyo tuseme jamaa wakieka faida itakua kwenye 250,000 hadi 300,000
 
Poa mkuu maana nahitaji mwez ujao kama itakua kimya itabidi nichukue ushauri wako HUAWEI Y300
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ