Stephen bryson Senior Member Joined Oct 1, 2016 Posts 151 Reaction score 126 Nov 26, 2024 #1 Wakuu naomba kuuliza anayejua bei ya mkaa wa mawe ( coal ) unapopatikana bei zake kwa tani na taratibu za kununua tujulishane. Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kiwandani.
Wakuu naomba kuuliza anayejua bei ya mkaa wa mawe ( coal ) unapopatikana bei zake kwa tani na taratibu za kununua tujulishane. Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kiwandani.
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 10,890 Reaction score 18,836 Nov 26, 2024 #2 Bei ya dunia ni kama dola mia kwa tani
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,370 Nov 27, 2024 #3 Stephen bryson said: Wakuu naomba kuuliza anayejua bei ya mkaa wa mawe ( coal ) unapopatikana bei zake kwa tani na taratibu za kununua tujulishane. Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kiwandani. Click to expand... Niaje mkuu, ni pm tuongee biashara hiyo
Stephen bryson said: Wakuu naomba kuuliza anayejua bei ya mkaa wa mawe ( coal ) unapopatikana bei zake kwa tani na taratibu za kununua tujulishane. Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kiwandani. Click to expand... Niaje mkuu, ni pm tuongee biashara hiyo
oldbull JF-Expert Member Joined Jun 6, 2015 Posts 379 Reaction score 669 Nov 27, 2024 #4 Nenda Songea boss
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,370 Nov 28, 2024 #5 webroyalz said: Nenda Songea boss Click to expand... Ninemcheki jamaa nadhani katoka online