HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,229 Reaction score 103,333 Sep 17, 2022 #41 Serikali ilifanya makosa makubwa kuanza miradi mingi kwa wakati 1 Kuhamia Dodoma Bwawa la umeme Reli Daraja la busisi Uwanja wa ndege chato
Serikali ilifanya makosa makubwa kuanza miradi mingi kwa wakati 1 Kuhamia Dodoma Bwawa la umeme Reli Daraja la busisi Uwanja wa ndege chato
cleaner wrasse JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 9,076 Reaction score 10,106 Sep 17, 2022 #42 Maghayo said: Dah Yani elfu tatu unaona nyiiiingiiiii wakati Mimi hapa nilipo basmati na jasmine nanunua karibu elfu kumi na Moja kwa kilo? SI Kuna magimbi na mihogo? Click to expand... Hahaha Ujerumani huo mchele ni 5k-6k. Sasa jasmine si mchele super kyela
Maghayo said: Dah Yani elfu tatu unaona nyiiiingiiiii wakati Mimi hapa nilipo basmati na jasmine nanunua karibu elfu kumi na Moja kwa kilo? SI Kuna magimbi na mihogo? Click to expand... Hahaha Ujerumani huo mchele ni 5k-6k. Sasa jasmine si mchele super kyela
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,300 Reaction score 47,328 Sep 17, 2022 #43 edwayne said: Hahaha Ujerumani huo mchele ni 5k-6k. Sasa jasmine si mchele super kyela Click to expand... Ujerumani bei ya vitu ni chini ukilinganisha na Norway, Iceland, Denmark na uswiz
edwayne said: Hahaha Ujerumani huo mchele ni 5k-6k. Sasa jasmine si mchele super kyela Click to expand... Ujerumani bei ya vitu ni chini ukilinganisha na Norway, Iceland, Denmark na uswiz
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 59,386 Reaction score 134,948 Sep 17, 2022 #44 Maghayo said: Dah Yani elfu tatu unaona nyiiiingiiiii wakati Mimi hapa nilipo basmati na jasmine nanunua karibu elfu kumi na Moja kwa kilo? SI Kuna magimbi na mihogo? Click to expand... Qenge maji we!
Maghayo said: Dah Yani elfu tatu unaona nyiiiingiiiii wakati Mimi hapa nilipo basmati na jasmine nanunua karibu elfu kumi na Moja kwa kilo? SI Kuna magimbi na mihogo? Click to expand... Qenge maji we!
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 59,386 Reaction score 134,948 Sep 17, 2022 #45 ndindwana said: isee naona dalili ya kuanza kula kitumbo Click to expand... Kuna ule wa vitumbua nao 2,200
ndindwana said: isee naona dalili ya kuanza kula kitumbo Click to expand... Kuna ule wa vitumbua nao 2,200
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,496 Reaction score 39,308 Sep 17, 2022 #46 Kuleni mchele kitumbo
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,521 Reaction score 14,000 Sep 17, 2022 #47 Chakula kingi kimesafirishwa kwenda nje ya nchi. Tusisingizie uhaba wa mvua,laiti chakula chote kilichovunwa kingebaki nchini sasa hizi kilo ya sembe ingekuwa 900. Any way mbere kwa mbereX2.
Chakula kingi kimesafirishwa kwenda nje ya nchi. Tusisingizie uhaba wa mvua,laiti chakula chote kilichovunwa kingebaki nchini sasa hizi kilo ya sembe ingekuwa 900. Any way mbere kwa mbereX2.