Bei ya mayai ya kienyeji mahali ulipo

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
887
Reaction score
1,596
Habari za muda huu wapendwa,

Ningependa tu-share bei ya mayai ya kienyeji mahali tulipo Mimi nipo mkoa Wa pwani wilaya ya kibiti huku kwetu hususani eneo ninalo ishi Mimi trey moja ya mayai ni Tsh 12,000 had I 14,000.

Je wewe ?
 

Attachments

  • images.jpg
    16.8 KB · Views: 100
  • images(1).jpg
    14.5 KB · Views: 68
Mayai kienyeji mjini bana hata kiini cha njano hakuna!

Nimeachaga
 
Majogo ya mjini yanakula mikate unategemea nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bora hayo majogoo yanayokula mikate kuliko wanaume wanaokula chipsi
 
Heee kumbe hao wanaume wa mjini nao mayai yao hayana viini vya njano?[emoji848]
Ewaaa... mpk tusaidiwe na mchuzi wa pweza. Vyuma vimekaza kila sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…