R Rutana Member Joined Aug 21, 2013 Posts 25 Reaction score 4 Mar 1, 2014 #1 Ndugu wadau naombeni kufahamishwa bei ya mashine mpya ya kusaga na kukoboa kwa dar es salaam.
gimmy's JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 3,340 Reaction score 3,394 Mar 1, 2014 #2 kama wiki mbili au tatu zilizopita tulishawahi kufanya mjadala mrefu juu ya ulichokiuliza,jaribu kurejea nyuma kama hutoweza kuuona utani pm nitakusaidia kwani ninaouzoefu kwenye field hio.
kama wiki mbili au tatu zilizopita tulishawahi kufanya mjadala mrefu juu ya ulichokiuliza,jaribu kurejea nyuma kama hutoweza kuuona utani pm nitakusaidia kwani ninaouzoefu kwenye field hio.
R Rutana Member Joined Aug 21, 2013 Posts 25 Reaction score 4 Mar 1, 2014 Thread starter #3 Asante mdau kwa mwongozo
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,493 Reaction score 7,421 Mar 1, 2014 #4 Nenda Kisutu(Morogoro road)kuna maduka mengi wanauza hizo biashara za mashinne mfano AUTO SOKONI