Bei ya mashine ya kukata nyama buchani

Bei ya mashine ya kukata nyama buchani

baba B

Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
30
Reaction score
3
Wana jf naomba kwa mwenye kujua gharama bei ya mashine ya kukata nyama kwenye mabucha ya nyama. Je ni bei gani?
 
Zipo za aina nyingi.unapatikana wapi nikupe catalogue uchague tufanye biashara?
 
Zipo za aina nyingi.unapatikana wapi nikupe catalogue uchague tufanye biashara?

Chipukizi eeeh, hujalitendea haki jukwaa!! Hebu toa dondoo tuzielewe kidogo hizi mashine catalogue zake na bei ili tupate shule ya JF then kwa watakaonogewa nazo watawasiliana na wewe kuweza kuzipata. Mi mwenyewe nazihitaji ila sijui a wala b, na wala nilikuwa sijui wapi pa kuzipata mkuu. Ni hayo tu bana, funguka mkuu
 
Ndo maana watoto wanafeli

Saaa watu wazima mmeulizwa bei mnajibu vingine
 
Dunia ya leo mambo elimu yoyote iko kwa kidole chako. google meat cutting machines. utapata jibu.
 
Back
Top Bottom