Bei ya mafuta yapanda duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya mafuta yapanda duniani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritz, Jan 29, 2011.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Bei ya mafuta duniani imepanda ghafla, huku wawekezaji wakielekeza macho yao katika kile kinachoendelea hivi sasa nchini Misri.
  Kwa mara ya kwanza tangu kuporomoka kwa benki ya uwezekaji ya Marekani Lehman Brothers hapo septemba mwaka 2008, bei ya pipa moja la mafuta yasiosafishwa imefika dola 99 za kimarekani, nchini Marekani mafuta safi yamefika dola 89 kwa pipa, ikiwa ni ongezeko la asilimia nne,
  Kuna wasiwasi kuwa usafirishaji wa mafuta kupitia mfereji wa Suez, huenda ukaathirika, na machafuko yanaondelea sasa nchini Misri.
  Wakati huo huo, madini ya dhahabu yamepanda thamani yake, katika kipindi cha miezi miwili, katika kile kinachoonekana, kuwa ni wakati mzuri kwa vitega uchumi, kutokana na mkwamo wa kisiasa.
  soure DW
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kazi Kweli Kweli...., Yakituzidi itabidi tufanye kama Cuba... (1994) baiskeli na punda ni usafiri tosha...
   
 3. V

  Vumbi Senior Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hili ni pigo kwa mataifa masikini kama TZ ambayo hatuna mafuta gharama za maisha zitazidi kuwa juu. Pia hili ni fundisho kwetu kuwa migodi tuliyogawa haina faida kwa taifa kama tungewekeza vizuri kwenye migodi ya dhahabu basi sasa hivi ingekuwa ni furaha kwetu, lakini imekabi kuwa kilio na kusaga meno.
   
 4. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #4
  Jan 29, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  we have to take proactive initiative in accordance to the dependence nature of our economy, my suggestion i think we have to invest a lot in production of food since this uongezekaji wa bei ya mafuta utaambatana na njaa kali and uongezekaji wa gharama of anything we see in front of our eyes according to what i anticipate so it is a dire opportunity for us to use our virgin land to react to the coming calamities. Those have eyes please let take care to our fellow Tanzanians.
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Duh!
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hapa kwetu hiyo siyo news sana -- kwani hapa kwetu bei za mafuta hupanda hata bila ya bei duniani kupanda. katika miaka ya mwisho ya 90 ilikuwa inapanda hapa kwet uwakati bei ya mafuta duniani ilikuwa inateremka.
   
Loading...