nilimsikia Jan Makamba anadai the reason for uchakachuaji kuwa sugu ni bei ya mafuta ya taa kuwa chini ivo wafanya biashara wana take advantage of that so by raising it to almost sawa na petrol ile hamu ya kuchakachua itapungua sana na wamefanya ivo kutokana na kutokuwa na matumizi makubwa ya mafuta ya taa compare na petrol so basically wameona wengi wape meaning kilio kikubwa kipo wapi...to me is a good move ila wangefanya utafiti wa kutosha katika kupanga bei mpya...