Bei ya mafuta ya taa TZS 1,750

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
This is shocking jana nimekuta bei ya mafuta ya taa ni TZS 1,750 yaani karibia kabisa na bei ya Petrol na Diesel (TZS 1950) kweli maisha bora kwa kila Mtanzania
 
poleni sana tatizo ni bei kwenye soko la dunia zimepanda sana yaani hata wamarekani wameambiwa waanze kubana matumizi sasa hv kweli dunia hii sijui inekwenda wapi kwa sasa maisha yanazidi tu kua magumu!
 
nilimsikia Jan Makamba anadai the reason for uchakachuaji kuwa sugu ni bei ya mafuta ya taa kuwa chini ivo wafanya biashara wana take advantage of that so by raising it to almost sawa na petrol ile hamu ya kuchakachua itapungua sana na wamefanya ivo kutokana na kutokuwa na matumizi makubwa ya mafuta ya taa compare na petrol so basically wameona wengi wape meaning kilio kikubwa kipo wapi...to me is a good move ila wangefanya utafiti wa kutosha katika kupanga bei mpya...
 
hapo ndio mafuta ya taa hayana kodi. Je wakiongeza itakuwaje kwa wale wa kule kwetu Nzega
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom