Bei ya mafuta ya kupikia hapa Mwanza

Bei ya mafuta ya kupikia hapa Mwanza

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Pamoja na Serikali kusema mafuta ya kula yasipandishwe bei hapa Mwanza nimeshuhudia kuwa mafuta ya kula yamepanda bei. Mafuta ya alizeti yaliyokuwa yanauzwa Tshs.18,000 kwa lita tano sasa hivi yanauzwa Tshs.20,000. Mafuta mengine hata ya korie yamepanda bei licha ya Serikali kuihakikishia Wananchi kuwa bei haitapanda.
 
Watu waliolima alizet mashamba makubwa watapiga hela.


Kiteto watu washaanza kuvuna bei gunia 35,000--40,000
 
kumbe ni mwanza? acha msome na nyie namba kidogo.
 
Nyanda za juu kusini

Lita 5 ........tsh 20,000

Lita 10........tsh 38,000

Hali nitete
 
Back
Top Bottom