Bei ya mabati

Bei ya mabati

hongera kaka kwa kujenga sisi bado tunapanga -- hali inazidi kuwa mbaya sana, nilishawahi kuuliza bei ya sementi nikatoka mita duh wengi hatutajenga.

sh ngapi kwani mfuko sasa hivi?
Inatakiwa iwe chini kwa sababu hilo soko limechafuliwa na imports za kumwaga
 
haya mabati ya migongo mipana hata mimi nayatamani nasikia yapo ya china na india
 
Wadau naomba mtu yeyote mwenye uelewa kuhusu mabati, anijulishe mpya ya mabati ya versatile,gade 28 ya ALAF.
mim ni agent wa ALAF, bei ya versatile gauge 28 ni 15399 kwa mita moja, IT4&5 ni 15033 kwa mita moja na roman tile ni 15635 kwa mita moja na migongo midogo gauge 30 ni 395000 kwa bandle moja. Pia mim ni Agent wa mabati ya dragon...versatile gauge 28 ni 13000 kwa mita IT ni 12000 kwa mita na gauge 30 IT ni 9500 unapewa warrant hizo bati hazipauki
 
Mkuu umetumia lugha za kibiashara/technical language sana. Kwa laymen atakuelewa kama utaweza kutumia lugha tuliyotumia humu: Mfano: migongo mipana ndo (versatile gauge 28)? Ni vizuri ukanyambulisha kwa lugha zote!! Ahsante.
 
Nasubiri majibu mujarabu kupitia hili jukwaa
 
Mkuu umetumia lugha za kibiashara/technical language sana. Kwa laymen atakuelewa kama utaweza kutumia lugha tuliyotumia humu: Mfano: migongo mipana ndo (versatile gauge 28)? Ni vizuri ukanyambulisha kwa lugha zote!! Ahsante.
 
Attachments

  • IMG-20161011-WA0004.jpg
    IMG-20161011-WA0004.jpg
    60.5 KB · Views: 315
  • Versa..ALAF.jpg
    Versa..ALAF.jpg
    23.6 KB · Views: 181
  • picha no 1.jpg
    picha no 1.jpg
    48.1 KB · Views: 224
  • IMG-20161011-WA0004.jpg
    IMG-20161011-WA0004.jpg
    60.5 KB · Views: 173
picture ya kwanza ni IT, ya pili versatile na ya tatu ni roman tile
 
Hayo mabati ya ALAF yanapatikana barabara ya nyerere. mimi mwenyewe nina shida kweli. huku nilipo bati moja la futi 10 linauzwa 32,000. Ningepata mtu anipe angalau contacts za ALAF ili niagize directly
Ni pm mkuu nina namba ya mmoja yupo pale araf
 
Back
Top Bottom