UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 566
ndio hivyo bei zake msimu huu
ndiooOyoooo Umetoa?
Hujaja mbonMwaka jana nilienda Singida,kule kuku wa kienyeji nusu anauzwa 3500.
Niliwala sana,sijui sasa hivi bei itakua shilingi ngapi!!
mkuu mbona ndio bei za kila siku hata bila sikukuu...
Kumbe watu hawalagi kuku hadi siku ya sikukuu!Ni bei ya kila siku hio. Kama unataka kuku poa wale maji mara moja wapo tele sh 5000 hawana radha sumu tupu
Kumbe watu hawalagi kuku hadi siku ya sikukuu!
Bora Nile Nundu Ya Moo Kwani Nyama Ya Kuku Ina Video?
Uchoyo uchoyoHujaja mbon