Skillseeker
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 225
- 34
Habari za leo wanaJF,
Ningependa kujua bei ya iphone 4, 4s na 5 kwa tanzania. Nahitaji kujua bei zake zikiwa mpya na used in a good condition.
asanteni
Tafuta mtandaoni kama ukiweza
iphone 4 used 280 na kuendelea\
iphone 4s 330 na kuendelea
iphone 5 600 na kuendelea
condition ya simu + specifications = Bei
Je hizo bei ni UsS au Tzs? Ikiwa ni Tzs na ni mpya basi ZITAKUWA siyo original
Umeelewa swali? Tanzania kuna muuzaji wa simu anaweka bei mtandaoni?
- iphone 4 used 280k na kuendelea
- iphone 4s 330k na kuendelea
- iphone 5- 600k na kuendelea
condition ya simu + specifications = Bei
HahahahHizi bei niza Tecno ama Iphone!?
Hahahah
Hizi bei niza Tecno ama Iphone!?
Tatizo lenu mmekariri bei na hizo bei nilizoweka sio za iphone mpya ni used.
Hatujakariri bwana mdogo sisi tunauza hizo simu unazodhani wewe unazijua sana, Pili mleta mada kaulizia bei ya Iphone mpya na Used sasa wewe bei ulizoweka hazieleweki ni za bidhaa ipi used ama mpya? Huwezi kuwa great thinker kwa changio lako hilo lililosababisha watu wengi tugune!!!!!
Ni kweli inawezekana sijaeleweka nakubaliana na hilo ila ingekuwa vizuri kama ungetumia busara kuwaelewesha wengine ulipoona kuna utata bila kutumia kejeli kama ulivyofanya hamna mahali nimeandika bei za tecno, pili mi si bwana mdogo nakuheshimu ndugu.
Turudi kwenye mada, bei nilizoweka ziko kwenye range i.e (280k> Nakuendelea) inaeleweka nadhani.
- iphone 4 used 280k na kuendelea
- iphone 4s 330k na kuendelea
- iphone 5- 600k na kuendelea
condition ya simu + specifications = Bei
Mkuu hizi bei umetoa wapi kaka?
ebay au?
Inaelekea kuna watu wanauziwa iphone kwa bei mbaya humu kwa kuwa hawajui bei ya mpya iphone 4 ni laki nne na nusu na 4s ni laki tano. Bei zilizowekwa na na mdau hapo kwa maana ya used ni sahihi kabisa na mtu mwenye kutambua hiyo biashara angeelewa kuwa hiyo ni used.
- iphone 4 used 280k na kuendelea
- iphone 4s 330k na kuendelea
- iphone 5- 600k na kuendelea
condition ya simu + specifications = Bei