Bei ya Ipad Air na Iphone5s mpya?

Bei ya Ipad Air na Iphone5s mpya?

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,176
Naomba kama kuna mtu anajua bei zake hapa Tanzania.

Shukrani.
 
Naomba kama kuna mtu anajua bei zake hapa Tanzania.

Shukrani.

Ipad Air kwa huko Tanzania ni 850,000-1million,yenye ukubwa wa 16gb.
Iphone 5s ni 1.2-1.3million

kwa hapa China unaweza kupata kwa bei ya chini kiasi
 
Ipad Air kwa huko Tanzania ni 850,000-1million,yenye ukubwa wa 16gb.
Iphone 5s ni 1.2-1.3million

kwa hapa China unaweza kupata kwa bei ya chini kiasi

Asante!

Kwa nini China unaweza kupata kwa bei ya chini? Kuna feki?
 
Asante!

Kwa nini China unaweza kupata kwa bei ya chini? Kuna feki?

Happana, zote ni original. Hapa ni bei ya chini kwa sababu ya stock na ukizingatia hawatumii gharama sana kusafirisha toka kiwandani hadi sokoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom