bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,311
- 2,301
Nahitaji kujua bei hii perfume maana inasifika sana na baadhi ya watumiaji.
Nawasilisha
#fightingTemptation
Nawasilisha
#fightingTemptation
Ina range kwenye 25k to 28k
Shukran sana.
Ulifanikiwa kununua? How much. Ni nzuri?
Mills 50, sh ngapiNinazo perfume nzur sana za kupima,garufu haitoki mpk ufue nguo mara 3
30,000Mills 50, sh ngapi
Marc Jacobs Decadance unayo? Naipenda sana hii harufu yake haiishi utamu!Ninazo perfume nzur sana za kupima,garufu haitoki mpk ufue nguo mara 3
Mills 20?30,000
25000Mills 20?
BarikiwaNatumae mleta mada ulipata muongozo...
Taja jina tutafute hata huku swekeni mkuuNinazo perfume nzur sana za kupima,garufu haitoki mpk ufue nguo mara 3