Greentomarine,whitestone,silkon,amasist,brusafaya,amarode,roseganet,amarod,GALENA,COPPER,IRON ,amecyst bei gani kwa gramu na kampuni gani inatoa bei nzuri
unayo galena?
Greentomarine,whitestone,silkon,amasist,brusafaya,amarode,roseganet,amarod,GALENA,COPPER,IRON ,amecyst bei gani kwa gramu na kampuni gani inatoa bei nzuri
hayo madini yote hayana bei maalum blue saphire, emarold, rose garnet,kikubwa kama una mzigo nenda nao kwa hao buyers nenda nyuma ya bestbite ulizia kwa prayun ni mthailand kna wanunuzi wamekuja wapya kwake ka test zali
unayo galena?
Greentomarine,whitestone,silkon,amasist,brusafaya,amarode,roseganet,amarod,GALENA,COPPER,IRON ,amecyst bei gani kwa gramu na kampuni gani inatoa bei nzuri
unayo galena?
Madini hayo sio kama ilivyo bidhaa zingine, unatakiwa uende nayo sokoni wayakague na kujua kuna tatizo gani katika kila jiwe ulilonalo. Muhimu ni kuwa na walau bei za jumla ili wanunuzi wasikupige. Kuna mambo mengi sana yanayoangaliwa hapo ili kufikia muafaka wa bei. Rangi, Shape, nk. Huwezi kuwa na uhakika wa bei halisi bila kufika nayo sokoni, nenda maeneo ya nyuma na Best Bite kuna mnunuzi japo sina uhakika kama bado anatoa bei nzuri au amebadilika.
kuna kifaa cha kupimia madini jamaa wa 77 aliniambia kinauzwa bei rahisi tu kama 150m kama vipi jipange ukinunue.
Jaman hayo madini yote yapo mi Sina mtejaKwa kukusaidia tu ili wengine waweze kukuelewa na wewe uelewe namna ya kuyaandika vizuri hayo madini:
Greentomarine = Green tourmaline
whitestone = Pia inaweza ikawa ni Diamond? au hili lililotajwa kwenye Biblia? (wenye ujuzi zaidi watafafanuwa)
Rev 2:17 He that hath an ear, let him hear what the Spirit says unto the churches; To him that overcomes will I give to eat of the hidden manna, and will give him a white stone, and in the stone a new name written, which no man knows saving he that receives [it].
silkon = Zircon
amasist = Amethyst
brusafaya = Blue sapphire
amarode = Emerald
roseganet = Rose garnet
amarod = Emerald
Wewe upo dunia ipi?Jaman hayo madini yote yapo mi Sina mteja
Jaman hayo madini yote yapo mi Sina mteja