Bei ya GPS aina ya Garmin

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,807
Rafiki yangu kavamiwa na vibaka wakakwapua vitu vingi nyumbani. Pamoja na vyote wameiba GPS ya kazini, mwajili amechachamaa anataka ilipwe na kesi ipo polisi. Please, kwa anaejua bei ya kifaa hiki anihabarishe na mahali pa kuipata ili tumsaidie ndg yetu.
Asanteni.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kama uko Dar nenda pale radiowave communication.​
 
Inategemea unataka ipi za mkononi ni m1 mpaka laki nane na ya kusimama mpaka 25 mpaka 45 DIFFERENTIAL
 
GPS garmin namba ngapi 62,72 au differential ?
 
Nao vibaka wanasubiri kujua bei yake ili wakaiuze. Watajieni.
 
Inategemea unataka ipi za mkononi ni m1 mpaka laki nane na ya kusimama mpaka 25 mpaka 45 DIFFERENTIAL
Inahitajika ya mkononi. Asante kwa msaada wako mpendwa.


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Asante mkuu, nipo Moro. Naomba kujua iko wapi hiyo radiowave com!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu hawa wapo maeneo ya namanga kinondoni. 022 266 6038. mia
 
Kama ni ya mkononi nijulishe maana mimi sina uzoefu nazo, mimi namiliki duka linaitwa Kariakoo Fishnet ninazo GPS ZAGARMIN, DUKA LANGU LIPO MTAA WA MKUNGUNI NA SWAHILI KARIBU NA SOKO KUU LA KARIAKOO ,
 

Tueleze garming version gani au namba ngapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…