dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,603
- 60,862
kua mpole, bei iyo ni kitambo sana, wala usilete mihemko, ndio maana nasema uko kwa shemejiHivi ukiwa mwerevu unapungukiwa nini? Kama unaweza kumtusi usiyemfaham, je unaoishi nao? Empty minded!
Hatari sanaMbona ni 20k
Mbona bei ya kawaida na hakuna jipya katika hiloJe, kuondoka kwa huyu mzee ndio kumeshaanza kutugharimu mara hii hata jamvi hatujaanua?
Nimeamka na kamtungi kangu huku nimebeba noti mbili nyekundu nkiwaza narudi na buku 3, kufika nahamaki kuambiwa eti bei imepanda ni elfu 20 kwa elfu 52.
Nafikiri kinachofuatia sasa ni kutuondolea na zile channel za bure alizopigania JPM, Ni wakati sasa wa matajiri kuishi kama "malaika ".
R. I. P JPM.
Mkuu kwetu wa buza buku 3 ni nyingi mno!Mbona bei ya kawaida na hakuna jipya katika hilo
STOCK YA ZAMANI HIYOArusha ilikuwa 17k hadi juzi.
Shemeji yangu anahusiana vipi na bei ya gesi? Ko sasa nimetoka ndo nimegundua? Ebu ulizia Arusha bei ya gesi ilikuwaje, usipende kujibu tu watu ovyo kwa kuwa una katekno ka kuokota.kua mpole, bei iyo ni kitambo sana, wala usilete mihemko, ndio maana nasema uko kwa shemeji
Sukuma gang mshaanza, wakati bei ya cement,mafuta ya kula na mengineo zikipanda mbona ye ndo alikua kakalia kiti.Je, kuondoka kwa huyu mzee ndio kumeshaanza kutugharimu mara hii hata jamvi hatujaanua?
Nimeamka na kamtungi kangu huku nimebeba noti mbili nyekundu nkiwaza narudi na buku 3, kufika nahamaki kuambiwa eti bei imepanda ni elfu 20 kwa elfu 52.
Nafikiri kinachofuatia sasa ni kutuondolea na zile channel za bure alizopigania JPM, Ni wakati sasa wa matajiri kuishi kama "malaika ".
R. I. P JPM
Huyu mzee mtamtia dhambi bure manake mnapenda sana kumpa ukuu usio wake!!! Sukari ilipanda baada ya kuwa ameshafariki?! Mafuta ya kula yalipanda baada ya kuwa ameshafariki?! Binafsi, gesi ninayotumia sasa nimenunua almost 3 weeks ago, na bado nakumbuka baada ya kutoa pesa, nikawa nasubiri change, nikaambiwa bei yake kwa sasa ni 20K!Je, kuondoka kwa huyu mzee ndio kumeshaanza kutugharimu mara hii hata jamvi hatujaanua?
Nimeamka na kamtungi kangu huku nimebeba noti mbili nyekundu nkiwaza narudi na buku 3, kufika nahamaki kuambiwa eti bei imepanda ni elfu 20 kwa elfu 52.
Nafikiri kinachofuatia sasa ni kutuondolea na zile channel za bure alizopigania JPM, Ni wakati sasa wa matajiri kuishi kama "malaika ".
R. I. P JPM.
Alikuwa Chato wauza gesi walipatiwa ruzukuNina miezi mitatu Sasa nanunua kwa Bei hiyo Sasa sijui mwwnzetu upo mkoa gani
Yap zimepanda ghaflaArusha ilikuwa 17k hadi juzi.
unakaa kwa shemeji, na leo ndio ukatumwa kununua gesi, naona unashangaa bei imepanda,Shemeji yangu anahusiana vipi na bei ya gesi? Ko sasa nimetoka ndo nimegundua? Ebu ulizia Arusha bei ya gesi ilikuwaje, usipende kujibu tu watu ovyo kwa kuwa una katekno ka kuokota.
Ndio shida ya kukaa kwa shemej huyu mwamba Nina asilimia99.9 anakaa kwa shemej huwez leta Uzi wa majungu namna hiiunakaa kwa shemeji, na leo ndio ukatumwa kununua gesi, naona unashangaa bei imepanda,
Hata mi nashangaa, gas ni 20 kamtungi kadogo, hyu nae ana lake jambo kwani mwendazake ndo alikua anapanga bei?tuache kwanza.Mkuu mbona mi kitambo nanunua kwa 20k, uko mkoa gani?
hata dar ilikua 17k saiv ni 20 najiuliza kwanini tunagesi nchini alafu tunauziwa bei kubwa kiasi hikiJe, kuondoka kwa huyu mzee ndio kumeshaanza kutugharimu mara hii hata jamvi hatujaanua?
Nimeamka na kamtungi kangu huku nimebeba noti mbili nyekundu nkiwaza narudi na buku 3, kufika nahamaki kuambiwa eti bei imepanda ni elfu 20 kwa elfu 52.
Nafikiri kinachofuatia sasa ni kutuondolea na zile channel za bure alizopigania JPM, Ni wakati sasa wa matajiri kuishi kama "malaika ".
R. I. P JPM.
Hiyo gas si ya Mtwara ama Songo Songo mkuu ni gas kutoka nje.hata dar ilikua 17k saiv ni 20 najiuliza kwanini tunagesi nchini alafu tunauziwa bei kubwa kiasi hiki
ni kweli kbs arusha ilikuwa hiyo beiArusha ilikuwa 17k hadi juzi.