Jaribu pia kucheck control box,Ni automatic,
Haibadili gear vizuri ni kama hasa Inabaki gear namba1 na 2 na mara chache sana inafika tatu.
Uwezekano mkubwa utakua kwenye solenoid hilo tatizo linatatulika mimi nilishawahi kua na tatizo kama hilo gia ilikua inaishia namba 2 ikawa inaunguza plate nilienda machinga complex pale ilala kuna jamaa anaitwa Salehe mpelekee hilo gari lako gia box yote ilishushwa huku naangalia tukaweka na solenoid valve zingine sasa hivi mnyama yupo vizuri.Ni automatic,
Haibadili gear vizuri ni kama hasa Inabaki gear namba1 na 2 na mara chache sana inafika tatu.
Nashukuru mkuu nitafanyia kazi ushauri wako.Uwezekano mkubwa utakua kwenye solenoid hilo tatizo linatatulika mimi nilishawahi kua na tatizo kama hilo gia ilikua inaishia namba 2 ikawa inaunguza plate nilienda machinga complex pale ilala kuna jamaa anaitwa Salehe mpelekee hilo gari lako gia box yote ilishushwa huku naangalia tukaweka na solenoid valve zingine sasa hivi mnyama yupo vizuri
Mrejesho tafadhali...nami nataka niende.Nashukuru mkuu nitafanyia kazi ushauri wako.
Naona unamshauri the old school way , !! Siku hizi manual siyo deal tenaJaribu pia kucheck control box,
Kama ni gear box kweli ndiyo yenye tatizo, ukiweza weka manual hautojutia maana hazina usumbufu sana.
Kwanini?Naona unamshauri the old school way , !! Siku hizi manual siyo deal tena
Automatic inafanya vizuri sana infact baadhi zina option hata ya manual .Kwanini?
Automatic inafanya vizuri sana infact baadhi zina option hata ya manual .
Serikali inanunua manual transmission kwa sababu taatifa zinachelewa sana kufika kwa watu responsible na maamuzi , manual zilitakiwa ziwe faded out kitambo sanaAchana na tiptronic transmission mkuu.
Umeisha wahi kujiuliza kwanini SERIKALI na MASHIRIKA YA UMMA asilimia kubwa gari zake ni manual transmission na siyo automatic transmission??
Usijidanganye aisee, manual transmission ni expensive sababu ya uspecial na uimara na siyo kupitwa wakati,Serikali inanunua manual transmission kwa sababu taatifa zinachelewa sana kufika kwa watu responsible na maamuzi , manual zilitakiwa ziwe faded out kitambo sana
Mitambo na malori heavy duty Siku hizi ni automatic , na swedish kwa mfano you'll be quoted more $$$$ Kama utaagiza manual gearbox kwa sababu ni nje ya production pipeline yao na moving parts ni nyingi kwenye manual.
Mkuu dunia imebadilika sana sana , Siku hizi ni automation kwa kiasi kikubwaUsijidanganye aisee, manual transmission ni expensive sababu ya uspecial na uimara na siyo kupitwa wakati,
Pia fanya tafiti siku moja kwa stakeholders wa maroli (haswa drivers) kuwa ipi ni the best kati ya hizo transmission ikiwa namna ya upandaji milima, fuel economy n.k
Majibu utuletee.
Ili cost kama ngapi mkuuUwezekano mkubwa utakua kwenye solenoid hilo tatizo linatatulika mimi nilishawahi kua na tatizo kama hilo gia ilikua inaishia namba 2 ikawa inaunguza plate nilienda machinga complex pale ilala kuna jamaa anaitwa Salehe mpelekee hilo gari lako gia box yote ilishushwa huku naangalia tukaweka na solenoid valve zingine sasa hivi mnyama yupo vizuri.
350,000 tshsIli cost kama ngapi mkuu