bei ya gari la kuzoa taka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bei ya gari la kuzoa taka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mseseve, Aug 15, 2012.

 1. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  wadau wa jf naomba mnipe info kuhusu wapi nitapata na kwa bei gani GARI ya kufanyia kazi ya kuzoa taka kwenye kata moja dar. wadau najua tunaweza kusaidiana kwa mambo mengi. kwa huu mkataba nilioupata nahakika mtanisaidia kujua bei ya gari la kukodi ambalo lipo katika hali nzuri, na lisiwe linafanana na taka zenyewe.mwenye magari hayo au anayejua yanapatikana wapi na kwa bei gani kwa siku au kwa mwezi naomba ani PM.
   
 2. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Jaribu kuuliza katika ofisi ya Afya katika Manispaa, wao ndio wasimamizi wa usafi katika kata hivyoi wanaweza kukupataarifa au mwangaza wa kupata gari unayoitaka.
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Naunga hoja mkono 100%
   
 4. k

  karema Member

  #4
  Jan 29, 2014
  Joined: Oct 3, 2013
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tafuta yale malori ya kubebea mchanga,hayo ndo yanafaa zaidi na upatikanaji wake ni rahisi.
   
Loading...