Olumolongez
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 818
- 299
Habari za jioni wana JF.kichwa cha habari chahusika.Naomba kujua bei ya gari aina ya Toyota Harrier Lexus tangu kuagiza hadi kuingia barabarani au ikiwa yard hapahapa bongo.Natanguliza shukrani.
Nashukuru sana Malimingii ntapataje hiyo website yenye calculator ya TRA?Habari za jioni wana JF.kichwa cha habari chahusika.Naomba kujua bei ya gari aina ya Toyota Harrier Lexus tangu kuagiza hadi kuingia barabarani au ikiwa yard hapahapa bongo.Natanguliza shukrani.
Kwa nini umechanganyikiwa mkuu????Nimefata ushauri wako Malimingii lkn gharama ya hiyo gari hadi ingie barabarani imeniletea 29 m/=tshs hadi nimechanganyikiwa
Ingawa Lexus ni kiwanda cha Toyota, Lakini hakuna Toyota Harrier Lexus. Nilishawahi kuwa na Lexus RX300 ya 2006 ambayo inafanana na Toyota Harrier Hybrid ya miaka hiyo hiyo, lakini zinatofautiana bei na spare kadhaa kama radiator. Lexus RX300 ina bei ya juu kiasi ukilinganisha na Toyota Harrier Hybrid.Habari za jioni wana JF.kichwa cha habari chahusika.Naomba kujua bei ya gari aina ya Toyota Harrier Lexus tangu kuagiza hadi kuingia barabarani au ikiwa yard hapahapa bongo.Natanguliza shukrani.
Mkuu ndo bei zake sio mzigo wa kitoto huoNimefata ushauri wako Malimingii lkn gharama ya hiyo gari hadi ingie barabarani imeniletea 29 m/=tshs hadi nimechanganyikiwa
Watu wa hivi ndio huwa wanayaacha magari bandarini hadi yanapigwa mnada, kama alikuwa ameshaagiza bila kuangalia kodi yake ni kiasi gani.Kwa nini umechanganyikiwa mkuu????
Kitu kizuri gharama mkuu. Jipange na uweke malengo utafika tuu.Nimefata ushauri wako Malimingii lkn gharama ya hiyo gari hadi ingie barabarani imeniletea 29 m/=tshs hadi nimechanganyikiwa
Inaweza ikawa bei gani boss wangu?Alafu nasikia kuna six cylinder na four cylinder unawezaje kulitambua?Kitu kizuri gharama mkuu. Jipange na uweke malengo utafika tuu.
Kwa nn usinunue Harrier ya kawaida ambayo ni version kama ya hiyo lexsus? At least bei zake ni reasonable