Leons Mwanda
Member
- Oct 24, 2015
- 5
- 5
Napenda kujua gharama za engine 1zz na gear box yake,napatikana mkoani Songwe
Unaweka kwenye gari gani mkuu?Napenda kujua gharama za engine 1zz na gear box yake,napatikana mkoani Songwe
Milion 3.5,gear box 1mNapenda kujua gharama za engine 1zz na gear box yake,napatikana mkoani Songwe
Rav4 ziko aina nyingi , kuna kilitime na zinginezo sasa sijui wewe ni ipi?Hiyo ni kwa ajili ya Rav 4 mkuu