Buggy JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 236 Reaction score 61 Jan 5, 2013 #1 Naomba mdau yeyote anisaidie kunipa bei ya sokoni ya chuma cha kavu. Inauzwaje kwa TANI/KILO? Mie nina mzigo mkubwa chuma chakavu hapa Dar nataka kuuza.
Naomba mdau yeyote anisaidie kunipa bei ya sokoni ya chuma cha kavu. Inauzwaje kwa TANI/KILO? Mie nina mzigo mkubwa chuma chakavu hapa Dar nataka kuuza.
M mwananyiha JF-Expert Member Joined Mar 11, 2008 Posts 248 Reaction score 43 Jan 5, 2013 #2 una tani ngapi?
Buggy JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 236 Reaction score 61 Jan 5, 2013 Thread starter #3 Nina tani zaidi ya 700 Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
M mwananyiha JF-Expert Member Joined Mar 11, 2008 Posts 248 Reaction score 43 Jan 5, 2013 #4 mkuu Buggy tutafutane kesho kuanzia saa 5 kwa ajili ya kufanya tathmini ya bei kulingana na chuma kilivyo. Contact 0712232849
mkuu Buggy tutafutane kesho kuanzia saa 5 kwa ajili ya kufanya tathmini ya bei kulingana na chuma kilivyo. Contact 0712232849
Buggy JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 236 Reaction score 61 Jan 5, 2013 Thread starter #5 Mwananyiha: si ungesema bei yako, mbona kiswahili kinaakuwa kingi? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mwananyiha: si ungesema bei yako, mbona kiswahili kinaakuwa kingi? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums