Andaa bajeti ya 9millions uagize moja kwa moja Japan. Usije ukanunua kwa wabongo zilizochoka. Kama huwezi kuagiza mwenyewe kuna kampuni maalumu inayowaagizia watu magari hapa Tanzania tembelea hapa
www.kalumbilo.online hata ukitaka ushauri watakupa tu