ng'wanankamba
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 346
- 120
Wadau naomba kujua bei ya bajaj mpya na hesabu kwa siku pamoja na changamoto ya biashara hii kwa wenye uzoefu na biashara hii.
20 per day siyo mbaya.Tvs 7M, Piaggio 6.7M kama nipo sawa. Kuhusu hesabu inategemea wapi inafanyakazi. Kwa sehem nying dar ni 20 per day
7.2 milion.Wadau naomba kujua bei ya bajaj mpya na hesabu kwa siku pamoja na changamoto ya biashara hii kwa wenye uzoefu na biashara hii.
TVS ni nzuri zaidi...TVS na Piaggio zipi zinabamba sana?
Unapata brevis million 6 na chenchi inabakiDuhh mil 8!! Bei ya gari mark x
Unapata brevis million 6 na chenchi inabaki
Dom duka gani wana bei nzuri mkuu?being inategemea mahali ulipo mfano Dom ni 7 RE 7.2 TVS na Piaggio
Mim pia nauza ofisi yangu iko Bahiroad, ila being ya RE mpya ni 7.2 milion inakuja na jina la mtejaDom duka gani wana bei nzuri mkuu?