Bei ya Aluminium windows

Bei ya Aluminium windows

nzilani

Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Naomba kuuliza mtu ye yote anayejua bei ya Aluminium windows plz.
Thanx.
 
Weka vipimo vyako kaka watu wakusaidie maana bei utofautiana kulingana na ukubwa....mimi pia nilikuwa natafuta lakini jana nilikuwa kwenye mizunguko ya kutafuta vifaa vya ujenzi hapa dubai nilishangaa sana kuona madirisha ya aluminium yakiwa complete yakiuzwa sina utaalamu sana wa size lakini ni makubwa 120×120 kama sijakosea..walikuwa wanauza elfu 85 tsh..kwa bei ya tz weka ukubwa utakao watu watakuelezea
 
Back
Top Bottom