S Samtee Member Joined May 2, 2018 Posts 89 Reaction score 125 Apr 19, 2023 #1 Habari Aise naombeni kujua bei ya alizeti. Tafadhalini
Sicario poison JF-Expert Member Joined Jan 1, 2021 Posts 2,327 Reaction score 4,574 Apr 20, 2023 #2 45000-50000
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,332 Apr 20, 2023 #3 herio said: 45000-50000 Click to expand... Gunia 1?
jose mjasiriamali JF-Expert Member Joined Sep 17, 2014 Posts 1,770 Reaction score 1,605 Apr 20, 2023 #4 Dodoma ni 60-70k Kwa ya mwaka jana
K Kidatu JF-Expert Member Joined Jun 11, 2008 Posts 1,574 Reaction score 350 Aug 12, 2023 #5 Ndugu zangu, naomba kujua bei ya alizeti kwa mwezi huu wa nane 2023. Hivi kuna app ama website ya kuweza kusaidia bei ya mazao Tanzania? Asanteni
Ndugu zangu, naomba kujua bei ya alizeti kwa mwezi huu wa nane 2023. Hivi kuna app ama website ya kuweza kusaidia bei ya mazao Tanzania? Asanteni
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,337 Reaction score 12,469 Aug 13, 2023 #6 Kidatu said: Ndugu zangu, naomba kujua bei ya alizeti kwa mwezi huu wa nane 2023. Hivi kuna app ama website ya kuweza kusaidia bei ya mazao Tanzania? Asanteni Click to expand... 52-60k singida
Kidatu said: Ndugu zangu, naomba kujua bei ya alizeti kwa mwezi huu wa nane 2023. Hivi kuna app ama website ya kuweza kusaidia bei ya mazao Tanzania? Asanteni Click to expand... 52-60k singida
Suip JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,375 Reaction score 852 Aug 13, 2023 #7 Ongeza thamani kamua mafuta uuze mafuta kwa gunia moja unaweza kupata lita 25 hadi 30 ambayo itakupa tsh.100,000 hadi 120,000 ukiuza lita kwa 4000/=
Ongeza thamani kamua mafuta uuze mafuta kwa gunia moja unaweza kupata lita 25 hadi 30 ambayo itakupa tsh.100,000 hadi 120,000 ukiuza lita kwa 4000/=
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 10,978 Reaction score 23,450 Dec 15, 2023 #8 mugah di matheo said: 52-60k singida Click to expand... Sasa ukiandika bei bila kusema kipimo gani unakuwa bado haujatoa msaada. Hii bei ni kwa kilo, debe, gunia, au ujazo gani hebu kuwa specific kidogo boss.
mugah di matheo said: 52-60k singida Click to expand... Sasa ukiandika bei bila kusema kipimo gani unakuwa bado haujatoa msaada. Hii bei ni kwa kilo, debe, gunia, au ujazo gani hebu kuwa specific kidogo boss.
N Njeso New Member Joined Jul 29, 2022 Posts 2 Reaction score 0 Dec 27, 2023 #9 Bei inayotajwa mfano 50k au 60k ni kwa ujazo wa gunia moja (wastani wa kilo 70). Zemanda said: Sasa ukiandika bei bila kusema kipimo gani unakuwa bado haujatoa msaada. Hii bei ni kwa kilo, debe, gunia, au ujazo gani hebu kuwa specific kidogo Click to expand...
Bei inayotajwa mfano 50k au 60k ni kwa ujazo wa gunia moja (wastani wa kilo 70). Zemanda said: Sasa ukiandika bei bila kusema kipimo gani unakuwa bado haujatoa msaada. Hii bei ni kwa kilo, debe, gunia, au ujazo gani hebu kuwa specific kidogo Click to expand...
Civil designer New Member Joined Nov 5, 2022 Posts 2 Reaction score 2 Mar 16, 2024 #10 Bei ni 75000/= kwa KILIMANJARO