ahmedjuma4
Senior Member
- Jul 16, 2019
- 107
- 224
Habari za majukumu wadau! Ninaomba kufahamu Bei ya Alizeti kwa kilo kwa waliopo mkoa wa Singida!
Ahsanteni
Ahsanteni
Kuna kipindi kifupi kilichopita nilisikia ilikuwa tsh. 800!!!Habari za majukumu wadau! Ninaomba kufahamu Bei ya Alizeti kwa kilo kwa waliopo mkoa wa Singida!
Ahsanteni