Bei sawa na bure: Shamba la kimkakati linauzwa

Bei sawa na bure: Shamba la kimkakati linauzwa

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,515
bei : Millioni nne bila kupunguza wala kuongeza wala dalali.

ukubwa: Hekari Mbili

mahala: Bagamoyo, Kiwangwa kilometer tatu kutoka mjini na barabara ya lami.

usalama wa mauzo: Lazima husishe ofisi ya serikali. na utakabithiwa mikataba ya mauzo ikiwepo na risiti halali ya serikali ya kijiji kuonyesha halikumilikiwa bila kufuata taratibu.

Faida za Kimkakati za eneo husika.
1: Shamba limezungukwa na mashamba jirani ya mananasi. Lafaa kwa mananasi na ukitaka kupanda huna haja ya kufunga safari kununua mbegu. utanunua kwa jirani kwa gharama nafuu.

2😛anafikika na gari (provate) na kwa miguu ni karibu kutoka lami au kiwangwa mjini.

3: Ni bondeni, unaweza kuchimba kisima kwa gharama nafuu ukafanya shghuli zozote ikiwemo ufugaji na umwagiliaji.

4: Shamba limesafishwa, sehemu kidogo tu kuna visiki vidogovidogo, gharama ya maandalizi ya Shamba umepunguziwa.

5: Lipo nje kidogo ya mji wa kiwangwa ambao tayari una umeme na maji. Mabus yote yanayokwenda moshi,arusha, tanga, mombasa etc yanapita hapo na mji huo unakua kwa kasi. Hata ukiafanya shughuli zako za uzalishaji unaweza kupeleka products popote mikoa hiyo au DSM kwa barabara ya lami.

Karibuni wakuu mbalimbali.
 
Bagamoyo kwa Wakwere Kuna wachawi sana. Huko ndipo uchawi wa pwani ulipozaliwa, ukatapakaa mpaka Tanga.
Siwezi kununua Ardhi huko. Nitarogwa, nitakufa.
Karibu. Kufa ni popote mkuu hata jk alikuwa mkwere lkn hakuturoga watanzania wote tukafa. Hahaha
 
kaka unauza shilingi ngap? milioni nne au laki nne
 
Tangazo bila picha/videoclip ni takataka tu
 
Back
Top Bottom