Bei sawa na Bure: Ipad 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei sawa na Bure: Ipad 2

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mchaga, Feb 27, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nauza Ipad2 mwenye kuhitaji in box
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Weka Bei Mkuu.

  Tukielewana njoo chukua pesa kesho.

  Specs na Clour pia ziweke. Na kama ni mpya au used.
   
 3. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tafadhali fanya alivoomba mkuu Superman. Halafu hilo jina lako limependeza na hili jukwaa.
   
 4. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Haya wakuu nitaweka hizo details leo jioni ikiwezekana na picha kabisa.
   
 5. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Wakati unasubiri hizo. Tuambie kama ni Mpya au Used. Kama ni Black au White. Pia tuambie bei.

  Au siyo Mchaga babangu?
   
 6. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Haya Babangu...Ni mpya nimeinunua last year ni White babangu nauza mln. 1.2/- maelewano yapo
   
 7. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wakuu samahani sikuweka zile details jana sababu kuna mwanachama mwezetu nimeonana nae jana ameinunua.

  Nawashukuru.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...