zink JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,251 Reaction score 2,410 Sep 23, 2021 #1 Habari wakuu nimevutiwa sana na hizi alienware gaming laptop, nauliza kuhusu bei zake pamoja na ubora wake ukishindanisha na kampuni kama hp omen, acer, msi, na je hizi msi gaming laptop zina ubora gan maana zinanivutia kimuonekano.
Habari wakuu nimevutiwa sana na hizi alienware gaming laptop, nauliza kuhusu bei zake pamoja na ubora wake ukishindanisha na kampuni kama hp omen, acer, msi, na je hizi msi gaming laptop zina ubora gan maana zinanivutia kimuonekano.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,079 Reaction score 43,566 Sep 23, 2021 #2 Zote ni bora kinachoangaliwa ni specs. Kwenye laptop ni ngumu kukuta vitu fake fake kama simu. Alienware ni kama Apple kuna Brand tax, Nyingi ni milioni 4 kupanda.
Zote ni bora kinachoangaliwa ni specs. Kwenye laptop ni ngumu kukuta vitu fake fake kama simu. Alienware ni kama Apple kuna Brand tax, Nyingi ni milioni 4 kupanda.
zink JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,251 Reaction score 2,410 Sep 23, 2021 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: Zote ni bora kinachoangaliwa ni specs. Kwenye laptop ni ngumu kukuta vitu fake fake kama simu. Alienware ni kama Apple kuna Brand tax, Nyingi ni milioni 4 kupanda. Click to expand... nimekuelewa mkuu na je kwanini waziite alienware kwamba zinauwezo mkubwa sana kama alien 👽 au janja za biashara
Chief-Mkwawa said: Zote ni bora kinachoangaliwa ni specs. Kwenye laptop ni ngumu kukuta vitu fake fake kama simu. Alienware ni kama Apple kuna Brand tax, Nyingi ni milioni 4 kupanda. Click to expand... nimekuelewa mkuu na je kwanini waziite alienware kwamba zinauwezo mkubwa sana kama alien 👽 au janja za biashara
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,079 Reaction score 43,566 Sep 23, 2021 #4 zink said: nimekuelewa mkuu na je kwanini waziite alienware kwamba zinauwezo mkubwa sana kama alien 👽 au janja za biashara Click to expand... Janja tu ya bishara, specs ni zile zile mkuu, zipo rog, omen, nitro, legion etc
zink said: nimekuelewa mkuu na je kwanini waziite alienware kwamba zinauwezo mkubwa sana kama alien 👽 au janja za biashara Click to expand... Janja tu ya bishara, specs ni zile zile mkuu, zipo rog, omen, nitro, legion etc
zink JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,251 Reaction score 2,410 Sep 23, 2021 Thread starter #5 Chief-Mkwawa said: Janja tu ya bishara, specs ni zile zile mkuu, zipo rog, omen, nitro, legion etc Click to expand...
Chief-Mkwawa said: Janja tu ya bishara, specs ni zile zile mkuu, zipo rog, omen, nitro, legion etc Click to expand...
zink JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,251 Reaction score 2,410 Sep 23, 2021 Thread starter #6 Na kwanini hizi gaming laptop bongo hapa dsm hazipatikani kirahisi mkuu
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,079 Reaction score 43,566 Sep 23, 2021 #7 zink said: Na kwanini hizi gaming laptop bongo hapa dsm hazipatikani kirahisi mkuu Click to expand... zipo ila bei ghali, bora uagizishie Asus TUF F15 Gaming Laptop with 8GB Graphics – Epic Computers epiccomputers.co.tz mfano hio 4.8m, amazon around 1.5k usd hivyo unaona jinsi wanavyopiga bei
zink said: Na kwanini hizi gaming laptop bongo hapa dsm hazipatikani kirahisi mkuu Click to expand... zipo ila bei ghali, bora uagizishie Asus TUF F15 Gaming Laptop with 8GB Graphics – Epic Computers epiccomputers.co.tz mfano hio 4.8m, amazon around 1.5k usd hivyo unaona jinsi wanavyopiga bei
zink JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,251 Reaction score 2,410 Sep 23, 2021 Thread starter #8 Chief-Mkwawa said: zipo ila bei ghali, bora uagizishie Asus TUF F15 Gaming Laptop with 8GB Graphics – Epic Computers epiccomputers.co.tz mfano hio 4.8m, amazon around 1.5k usd hivyo unaona jinsi wanavyopiga bei Click to expand... duuh sawa mkuu na vp kuhusu msi ni gaming nzuri maana napenda ule wembamba wake mkuu
Chief-Mkwawa said: zipo ila bei ghali, bora uagizishie Asus TUF F15 Gaming Laptop with 8GB Graphics – Epic Computers epiccomputers.co.tz mfano hio 4.8m, amazon around 1.5k usd hivyo unaona jinsi wanavyopiga bei Click to expand... duuh sawa mkuu na vp kuhusu msi ni gaming nzuri maana napenda ule wembamba wake mkuu
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,079 Reaction score 43,566 Sep 23, 2021 #9 zink said: duuh sawa mkuu na vp kuhusu msi ni gaming nzuri maana napenda ule wembamba wake mkuu Click to expand... Brand zote zina gaming laptop nyembamba mkuu, sababu cpu za kisasa hazihitaji nafasi kubwa sana kuzipoza. Na msi ni kampuni kubwa sana kwenye gaming industry, hivyo hawana shida.
zink said: duuh sawa mkuu na vp kuhusu msi ni gaming nzuri maana napenda ule wembamba wake mkuu Click to expand... Brand zote zina gaming laptop nyembamba mkuu, sababu cpu za kisasa hazihitaji nafasi kubwa sana kuzipoza. Na msi ni kampuni kubwa sana kwenye gaming industry, hivyo hawana shida.
zink JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,251 Reaction score 2,410 Sep 23, 2021 Thread starter #10 Chief-Mkwawa said: Brand zote zina gaming laptop nyembamba mkuu, sababu cpu za kisasa hazihitaji nafasi kubwa sana kuzipoza. Na msi ni kampuni kubwa sana kwenye gaming industry, hivyo hawana shida. Click to expand... Shukrani sana mkuu nmekuelewa lakin pia nisaidie hapa pc nayotumia uwa sometimes inaganda ya baada ya kutumia je tatizo ni nini mkuu
Chief-Mkwawa said: Brand zote zina gaming laptop nyembamba mkuu, sababu cpu za kisasa hazihitaji nafasi kubwa sana kuzipoza. Na msi ni kampuni kubwa sana kwenye gaming industry, hivyo hawana shida. Click to expand... Shukrani sana mkuu nmekuelewa lakin pia nisaidie hapa pc nayotumia uwa sometimes inaganda ya baada ya kutumia je tatizo ni nini mkuu
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,079 Reaction score 43,566 Sep 23, 2021 #11 zink said: Shukrani sana mkuu nmekuelewa lakin pia nisaidie hapa pc nayotumia uwa sometimes inaganda ya baada ya kutumia je tatizo ni nini mkuu Click to expand... I Kiganda fungua task manager halafu angalia ram, cpu, storage kama kuna hata kimoja kimejaa 100% ama kinakaribia.
zink said: Shukrani sana mkuu nmekuelewa lakin pia nisaidie hapa pc nayotumia uwa sometimes inaganda ya baada ya kutumia je tatizo ni nini mkuu Click to expand... I Kiganda fungua task manager halafu angalia ram, cpu, storage kama kuna hata kimoja kimejaa 100% ama kinakaribia.
zink JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,251 Reaction score 2,410 Sep 23, 2021 Thread starter #12 Chief-Mkwawa said: I Kiganda fungua task manager halafu angalia ram, cpu, storage kama kuna hata kimoja kimejaa 100% ama kinakaria Click to expand... Chief-Mkwawa said: I Kiganda fungua task manager halafu angalia ram, cpu, storage kama kuna hata kimoja kimejaa 100% ama kinakaribia. Click to expand... Memory naona ipo 83 asilimia hii ina maana gan mkuu? kwa cpu naona 13 ad 23 na disk 5 asilimia nisaidie mkuu
Chief-Mkwawa said: I Kiganda fungua task manager halafu angalia ram, cpu, storage kama kuna hata kimoja kimejaa 100% ama kinakaria Click to expand... Chief-Mkwawa said: I Kiganda fungua task manager halafu angalia ram, cpu, storage kama kuna hata kimoja kimejaa 100% ama kinakaribia. Click to expand... Memory naona ipo 83 asilimia hii ina maana gan mkuu? kwa cpu naona 13 ad 23 na disk 5 asilimia nisaidie mkuu
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,079 Reaction score 43,566 Sep 23, 2021 #13 zink said: Memory naona ipo 83 asilimia hii ina maana gan mkuu? kwa cpu naona 13 ad 23 na disk 5 asilimia nisaidie mkuu Click to expand... Ina maana ram ni ndogo, unatakiwa kuongeza ram ama kama ram ni kubwa kuna program inakula sana ram.
zink said: Memory naona ipo 83 asilimia hii ina maana gan mkuu? kwa cpu naona 13 ad 23 na disk 5 asilimia nisaidie mkuu Click to expand... Ina maana ram ni ndogo, unatakiwa kuongeza ram ama kama ram ni kubwa kuna program inakula sana ram.
zink JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,251 Reaction score 2,410 Sep 23, 2021 Thread starter #14 Nimekuelewa sana chief ngoja ni adjust ram mkuu shikrani sana
zink JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,251 Reaction score 2,410 Sep 23, 2021 Thread starter #15 Lakin pc ina ram 4gb nataka niweke ifike gb Iwe 8 inawezekana au kwa hp elitebook ina core 5 je bei shingap kwa ram ya gb4
Lakin pc ina ram 4gb nataka niweke ifike gb Iwe 8 inawezekana au kwa hp elitebook ina core 5 je bei shingap kwa ram ya gb4
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,079 Reaction score 43,566 Sep 24, 2021 #16 zink said: Lakin pc ina ram 4gb nataka niweke ifike gb Iwe 8 inawezekana au kwa hp elitebook ina core 5 je bei shingap kwa ram ya gb4 Click to expand... Kama 30,000 hivi 4gb ram.
zink said: Lakin pc ina ram 4gb nataka niweke ifike gb Iwe 8 inawezekana au kwa hp elitebook ina core 5 je bei shingap kwa ram ya gb4 Click to expand... Kama 30,000 hivi 4gb ram.
zink JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,251 Reaction score 2,410 Sep 24, 2021 Thread starter #17 Chief-Mkwawa said: Kama 30,000 hivi 4gb ram. Click to expand... Shukrani mkuu nmepata somo sana kwako chief
Chief-Mkwawa said: Kama 30,000 hivi 4gb ram. Click to expand... Shukrani mkuu nmepata somo sana kwako chief