Behold the ,"Terrible Teens"

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
3,625
Reaction score
5,815

My chosen one! Behold I bestow apon thee these "Terrible Teens" and thou shall hence forth piga Kazi,

I am giving you all my powers! Now am sending you to Koromije, Chato and all over the Nation, help me teach my people how to Kulima kwa Meno! Do not be Afraid the media has no power over you, not to that extent!
 
Nimeipenda hiyo pini[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Daaah amempa mapembe makubwa sana, yamemzidi uzito
 
hilo pini sasa sijui atakuja pewa kutumbua au litamtumbua!
 
Ndio kazi mliobaki nayo kwa sasa.sie tunapiga kazi 2020,mtaonesha katuni sie tutaonesha madaraja na barabara
 
Ndio kazi mliobaki nayo kwa sasa.sie tunapiga kazi 2020,mtaonesha katuni sie tutaonesha madaraja na barabara
Mtaonyeshwa watoto waliokalia Mawe na kusomea chini ya mikuyu, stori za kila kona


Mtaonyeshwa Wajawazito wanaojifungulia Sakafuni



Mtaonyeshwa Waandishi wakitishwa na Viongozi kushikiwa Bastola

Wahanga wa Tetemeko wakipewa biskuti na majani ya chai! Na kupora misaada yao
 
Usijali hata Kidogo Kuna Jamaa alishanitishia ati Watafika Nyumbani kwangu Kabla ya Ijumaa, ilikuwa mwezi uliopita, Niliwajulisha FBI, wakaniambia wakati Mwingine Niweke record ya Mtu anayenitishia kwa kusave alichosema na ID yake, wao ni sekunde tu watajua Ip yake simu anayotumia, Mtandao wake wa simu na Wadau wanaompigia simu! Sasa Huyu Bwana nimesave vitisho vyake hata akijitoa JF hachomoki!
 

Attachments

Lazima utumie picha za mwaka 2000 ili ufikie malengo yenu ya kisiasa.Tukutane 2020
 
Hili neno Terrible teen linanichekesha hadi nakosa pumzi!![emoji23] [emoji23] [emoji23]...........Wazungu ni hatari sana!
 
Lazima utumie picha za mwaka 2000 ili ufikie malengo yenu ya kisiasa.Tukutane 2020

Hiizi ni picha current my friend na by 2020 Wakati hizo ndege zikiwa kwenye mawe kwa kukosa vipuri, pia zitakuwepo picha na video zikiambatana na Video na habari live za hali ya Mahospitalini, mashuleni, etc. Kumzuia Mtu asionekane au asiseme na watu unamfanya wammisi na Wampende zaidi. It remains to be seen!
 
Endelea tu kujipa moyo,ni vizuri kwa afya yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…