Behind the scene

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
7,141
14,687
Behind the scene.jpg
 
Teh teh teh! Jamaa mwenye reflector anatoka kama amefungwa mota miguuni...
 
Hapo kuna hatari ya watu kupoteana alafu ndo inatokea mwingine anachepuka kwa mbele yao sijui watakimbilia muelekeo gani.
 
Hapo kuna hatari ya watu kupoteana alafu ndo inatokea mwingine anachepuka kwa mbele yao sijui watakimbilia muelekeo gani.
Hahahahaaaaaa. Najaribu kuichora picha hiyo akilini mwangu sipati jibu...
 
Kuna siku niliwahi kuangalia documentary film ya behind the scene ya hao jamaa...ni majanga!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom