Ha ha haa acha uvivu fanya research mwenyewe usisubiri kutafuniwa we umeze tu. Fatilia post yangu 'Ndege ya Malaysia yapoteza mawasiliano' ya trh 8 March, hii thread ni comment mojawapo pale huenda itakusaidia
Ilishawekwa hapa, tushaijadili, a good plot for a Tom Clancy novel. But that's where it seems to end.
Weka link mkuu.
By the way Kiranga ni mtu wa ku-share ideas, mara nyingi huwa napenda kuhojiananaye na huwa tunafikia hitimisho zuri, ukisoma comment yangu tena, utanielewa.
Sijui kama niliiona mkuu, ila nakumbuka kuna ile post ya awali iliyokuwa na title ya terrorism na mambo ya CIA ila baadaye ikabadilishwa jina na kuwa "Official...". I hope what we said still counts.
Una maanisha link ya thread ama? kwani kuna ishu sijaielewa mkuu? Si ulisema unasubiri Kiranga aje? Kwani yeye anatoa wapi info mkuu, hata wewe pia ukiamua you can do even better than him
Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano
Ilikuwa copy paste hii hii, word for word. Another thread, jana au juzi.
just thinking.. kwanini baada ya the top 8 security scientists kupata hizo weapons wasingeenda moja kwa moja china in any military base na badala yake wakaenda malaysia?? it would have been soo hard kwa wamarekani kuvamia military base ya mchina... hapo naona kama kuna walakini
Military aircraft ingetunguliwa na Wamarekani. Kwa kutia civilian plane, iliyojaa abiria wa kawaida, walidhani Wamarekani wangeona ugumu kupoteza watu wote! story inachekesha lakini!