Behind the Curtain: Top Dems now believe Biden will exit

You see what I'm saying?

Angalia orodha ya wale wataoongea kabla ya Trump kutoa hotuba ya kukubali kuwa mgombea wa Republican akiwa na running mate wake JD Vance.

1. Hulk Hogan
2. Dana White

3. Tucker Carlson I mean Tucker Carlson nae ataongea.

4. Mtoto wake Trump, Eric nae ataongea.

The scene is set.
What about them? Namjua huyo Tucker Carlson na Eric Trump tu.
 
Nadhani hata Uviko kabambikiziwa tu,to them ni kazi ndogo tu,ana mafua wanasema ni Uviko,hawa watu washenzi sana.

All in all,Biden ana-step down.Sorry Dementia Smoky Joe,you have to to go,time is up.

Halafu Democrats ni vipofu kweli kweli,wanataka Kamala apambane na Trump,hamuwezi kabisa,ni mpuuzi mwingine tu,labda waibe kura kama walivyo zoea.Michelle Obama kwa Wamarekani,not a sensible person,would be a better choice.
Unaweza ukatupa uthibitisho kwamba kura zimekuwa zikiibiwa.
 
Angalau Marekani kuna uchaguzi tunapata hata story za kupotezea muda, kwa Putin ni mwendo wa monoparty tu.
 
Unaweza ukatupa uthibitisho kwamba kura zimekuwa zikiibiwa.
Kura zinaibwa kila uchaguzi,George bush ushindi wake wote wa magumashi,Obama watu walitaka kubadili tu taswira ya USA ulinwenguni,wakapiga magumashi ashinde,ukitaka kujua huo uchaguzi magumashi ukiachilia mbali electoral college,Yale mabunge mawili hakuna siku chama kimoja kitatawala yote,to keep the balance
 
Kuliko kamala Harris awe mgombea bora babu Biden agombee huyo mwanamke hana ata robo ya kushindana ubavu na trump
 
Kura zinaibwa kila uchaguzi,George bush ushindi wake wote wa magumashi,Obama watu walitaka kubadili tu taswira ya USA ulinwenguni,wakapiga magumashi ashinde,ukitaka kujua huo uchaguzi magumashi ukiachilia mbali electoral college,Yale mabunge mawili hakuna siku chama kimoja kitatawala yote,to keep the balance
Wewe hakuna unachofahamu kabisa kuhusu Marekani ngoja ubaki tu mtu ambaye akitoka kuswali anaenda kupiga bla blaa kwenye vijiwe vya tangawizi.
 
Back
Top Bottom