shukrani mkuu ze bold....kwa kuongezea chumba cha ufahamu ktk jengo la ubongo wng wa ufahamu wa mambo ya kidunia...
"we 'r waitin the king master"
hujawahi kuniangush broh...
natamani sana kuja huko whtsapp....lakini nina minyororo na ID yng.... hav a nyc day mkuu....

Mkuu The Bold hongera kwa kuweza kuandaa makala kama hii ila nilikuwa na ombi moja, kama inawezekana mwisho wa makala zako uwe unaweka references ili kwa watakaohitaji kuingia ndani zaidi waweze kuwa na muongozo.
You're much appreciated mkuu
Umetendea haki utafutaji WA habari na uchambuaji!.
Nadhani kuna haja ya kutengeneza documentarie za matukio tata kama izo!
Am waiting for king maker !.