M mzee waukweli JF-Expert Member Joined Mar 17, 2015 Posts 206 Reaction score 49 Apr 6, 2015 #121 Bag bunduki na pasiya kusafiria ni vitu vya kawaida mtu kumiliki na shangaa mnajua kuna mapadri na wachungaji wanamiliki hivyo vitu?isiwe kwa gwajima tu zote ni chuki tu hamna lolote.
Bag bunduki na pasiya kusafiria ni vitu vya kawaida mtu kumiliki na shangaa mnajua kuna mapadri na wachungaji wanamiliki hivyo vitu?isiwe kwa gwajima tu zote ni chuki tu hamna lolote.