Sasa Mkuu watawezaje Kukuagizia gari lako halafu wasiwe na Uweledi na Uwezo wa Kukutolea hapo Bandarini? Na bahati nzuri hata hiyo Kampuni yenyewe ni Kubwa na inasifika pia hasa kwa Huduma. Katika suala zima la gharama au tozo zao hapa nisiwe muongo binafsi sifahamu japo najua kadri Uzi wako huu unavyoenda Wazoefu watakuja na Ufafanuzi zaidi.