Before and after

Wow makeup ina maajabu lol its work!!!!!!b!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Picha ya kwanza anaweza asisalimiwe njiani na girls,ila ya pili je?
 
kwan aliwah kuwa teja au alishatumia pombe haramuuuuu???? Nauliza tu, samahani lakini
 
Ya kwanza ndio alikuwa bomba maana ile ni sura ya kazi,hata mbwa akimuona anafyata hiyo ya pili imekaa kisodoma zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…