Beef la Zari na Wema limerudi tena

Status
Not open for further replies.

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Beef ya @zarithebosslady na @wemasepetu inasemekana eti imerudi tena, kama unakumbuka awali Zari alimshutumu Wema Na Team Yake kwa kumdhihAk Tiffah Kuwa ni zombie na c mtoto wa Chibu kwa damu,

Baada ya kusemekana kuwa ujauzito wa Wema umeharibika. Safari hii mama T amekua wa kwanza kurusha kombora na kudai kuwa eti kile kibend cha Sepenga sio cha kweli, kwani alijaza mito ya Kulalia tumboni, na ule mchezo wote ni movi.

Source: Snapchat

Inasemekana eti..

1455869940466-jpg.324158
 

Attachments

  • 1455869940466.jpg
    1455869940466.jpg
    11.1 KB · Views: 344
Beef ya @zarithebosslady na @wemasepetu inasemekana eti imerudi tena, kama unakumbuka awali Zari alimshutumu Wema Na Team Yake kwa kumdhihAk Tiffah Kuwa ni zombie na c mtoto wa Chibu kwa damu,

Baada ya kusemekana Kuwa ujauzito wa Wema umeharibikA
safari hii mama T amekua wa kwanza kurusha kombora na kudai Kuwa eti kile kibend cha Sepenga sio cha kweli, kwani alijaza mito ya Kulalia tumboni, na ule mchezo wote ni movie
Source: Snapchat
Inasemekana eti
Aione Nifah
 
Itakuwa vyema kama Tiffah hatarithi hii tabia..

Unajuwa unapokuwa na hii kitu ya kureply karibu kila ujinga ujinga unaoendelea, na muda mwingine kufikia hatua ya kukaanalo moyoni na baada ya muda unalipuka inaonyesha jinsi gani upo weak na haujiamini..

She can be better than this...!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom