Bedtime ni mambo ya ku-chat na m-baby

Ni kweli maisha ni mtihani lakini yote ni kheri na ipo siku ni uhai tu
 
Hahahahah alipita jikoni huyu au anauza mkaa
 
Duh huyu jamaa anamiliki simu 2,huenda simu ndo kipaumbele chake
 
Hahahahahahah bahati nimeshaolewa ila you never know kisingekua kizuri hiyo miguu

Haha..maana vijana wengi wanatongozana bila kufahamiana hata wanapoishi matokea yake ndio yanakuwa kama hivyo siku unakaribishwa kwenye makazi halisi
 
Haha..maana vijana wengi wanatongozana bila kufahamiana hata wanapoishi matokea yake ndio yanakuwa kama hivyo siku unakaribishwa kwenye makazi halisi

Haina tatizo kama hayo ndio maisha halisi ila tu akiwa amedanganya hapo ndio tatizo
 
Unamjua ile nyimbo uswahilini kuna vituko ?

Pengine kaoga alafu akatembea peku lol me nahisi anafanya kazi gereji huyu si bure
naujua huo wimbo. inawezekana pia ameoga ila akapita maeneo ya gereji huyu
 
Kipindi nimeanza kujitegemea, niliweka godoro chini na sikuwa na haja ya kitanda au makorokoro mengine, maisha yalikuwa simple msosi kwa mama lishe, lakini chumba kilikuwa kisafi, mziki mnene na vitabu. Sikuona aibu hata kuingiza wachumba. sasa huyu, japo ndio maisha, lakini mchafu.
 
Huo mguu, hapo ukute anamwambia mbebez nipo kitandani najiandaa kulalaa...
 
Hilo shuka linanikumbusha mbaaali kweli kweli enzi zileeee tukiwa boarding school
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…